Friday, 5 April 2019

💦💦💦💦❤💦💦💦❤💦❤❤

TABIA AU SIFA AU VIASHIRIA VYA KIJANA ALIYEMPENDA BINTI LAKINI ANAOGOPA KUMWAMBIA.😄😄😄😄

Zifuatazo ni baadhi tu ya viashiria:

1. Anakuwa na wasiwasi mwingi anapokuwa na wewe. 😁😁😁 Anakosa utulivu.

2. Anapenda kuuwaulizia rafiki zako kukuhusu. 👍👍👍

3. Anakuwa na tabia isiyoeleweka akikuona. 😁😁 Haeleweki kabisa kama kuku anayetaga.

4. Anapenda kutabasamu na wewe huku akiangalia kando pale macho yakutanapo.😳😳😳😳😄😄😄😌😌😌

5. Anakuwa mkimya pale unapokuwa naye.😌😌😌😌😀😀

6. Anabadirisha mwonekano wake kila kukicha. Mfano nywele_ mnyoo; nguo; n.k

7. Anagugumiza kuongea akiwa na wewe😁😁😁😁🤣🤣🤣
Anaongea kama anakupenda cha nyama mdomoni 😁😁

8. Anakujali zaidi ya wengine.🙂😄
Yupo tayari kutembea kwa miguu wewe upande gari.😁😁😁


9.Mtoaji mzuri wa zawadi na vijizawadizawadi mbali mbali.😀😅😅😅😅

10.Huongea kwa mafumbo yaani mambo yasiyokuwa wazi sana.😁😁😁

💦 Nyingine nyingi zinazofanana na hizo.😆😆


By pastor Songwa Kazi
0719968160.

No comments:

Post a Comment