SONGWA KAZI
Pst. Songwa Kazi .... katika huduma Dumila Morogoro
·
Kipekee kabisa na mshukuru sana Mungu wangu
BWANA Yesu Kristo aliye niita kwa wito mtakatifu kwakuniokoa na kunitenga kwa
ajili ya utumishi katika ufalme wake.
2timotheo 2:15 jitatahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu mtendakazi asiye na sababu ya kutahayari ukilitumia kwa halali neno la kweli....( maneno haya yamethihilika kwangu mnamo mwaka 2017 niliposimikwa kuwa Makamu Mkurugenzi wa umisheni jimbo la mashariki kusini..... T.A.G).
UNYENYEKEVU NI SEHEMU YA MAISHA YA UTUMISHI..........
BWANA NIPE AFRIKA .......... SHAUKU YA MOYO WANGU IKUJUE WEWE.....
MOJA YA HUDUMA ZA KIMISHENARI NDANI YA TANZANIA .... KATIKA MKOA WA MOROGORO-- DUMILA
UKIWA NA YESU YOTE YANAWEZEKANA .....
(FURAHINI KATIKA BWANA TENA NASEMA FURAHINI......)
MFURAHIE MKE WA UJANA WAKO
MIMI NA NYUMBA YANGU NITAMTUMIKIA BWANA....Yoshua 24:15
SHALOM! SHALOM!
MAWASILIANO:
ANUANI YA MWANDISHI:-
PASTOR. SONGWA .MM. KAZI
TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD
GLORY TO GLORY
CHRISTIAN CENTRE
GGCC - TAG FOREST KONGOWE
GGCC - TAG FOREST KONGOWE
S.L.P 70983, DSM
Simu: 0757-567 899, 0789-567 899,
Whasap: 0719-968 160.
Blog: lcm2014.blogspot.com
Email: ptrsongwak@gmail.com
songwak@yahoo.com
No comments:
Post a Comment